Home Uncategorized VIDEO:LICHA YA USHINDI WA 4-1,KIDAO ANAAMINI KAZI BADO

VIDEO:LICHA YA USHINDI WA 4-1,KIDAO ANAAMINI KAZI BADO

KATIBU Mkuu wa TFF Kidao Wilfred anaamini kwamba safari ya kufuzu Kombe la Dunia licha ya Timu ya Taifa Wasichana U17 Serengeti Girls kushinda mabao 4-1 mbele ya Cameroon huko Yaoundé, Cameroon bado haijaisha.

Vijana hao wana kazi ya kucheza mchezo wa marudio Uwanja wa Mkapa ili kuweza kukata tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia.

Previous articleMKALI WA MABAO MLANGONI SIMBA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
Next articlePABLO MAMBO MAGUMU NDANI YA SIMBA