
UNGANISHA MIGUU NA KICHWA CHA AJIBU ILI TUPATE MAJIBU
IBRAHIM Ajibu Migomba, sasa ametua Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akiandika rekodi ambayo wameiweka wachezaji wachache sana iwe kwa wazalendo au wa kigeni. Tayari sasa ameandika rekodi ya kuzichezea timu zote tatu kubwa za Dar es Salaam au Tanzania, nazungumzia Simba, Yanga na sasa Azam FC. Simba amekulia, amecheza au kukaa muda mrefu…