MERIDIANBET YATOA MSAADA WA NGUO ZA KUJIKINGA NA MVUA KWA MADEREVA BODABODA NA BAJAJI, WAFANYABIASHARA DAR
Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbet wamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili…