SIMBA KAMILI KWA FAINALI MUUNGANO
BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa mchezo wa fainali dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Aprili 27 2024 Uwanja wa New Amaan Complex. Simba imetinga hatua ya fainali ya Muungano kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KVZ inatarajiwa kukutana na Azam FC ambayo ilipata ushindi wa mabao 5-2 dhidi…