JKT TANZANIA: TUTACHEZA KAMA FAINALI DHIDI YA YANGA
BENCHI la ufundi la JKT Tanzania limebainisha kuwa litacheza mechi zote ambazo zimebaki kama fainali ikiwa ni pamoja na mchezo wa leo dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Isamuhyo ambapo wenyeji watakuwa ni JKT Tanzania wenye pointi 22 wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. George Mketo, kocha msaidizi…