Wababe wa Yanga Sc, Mamelodi Sundowns wamesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-0 dhidi ya vigogo wa Tunisia, Esperance Tunis kwenye hatua ya nusu fainali.
FT: Mamelodi Sundowns πΏπ¦ 0-1 πΉπ³ Esperance (Agg. 0-2)
β½ Bouchniba 57β
Esperance watachuana na wababe wa Simba Sc, Al Ahly kwenye hatua ya fainali.