Home Sports LIGI KUU BARA: YANGA 1-0 COASTAL UNION

LIGI KUU BARA: YANGA 1-0 COASTAL UNION

FT: LIGI Kuu Bara

Mzunguko wa pili, Uwanja wa Azam Complex

Yanga 1-0 Coastal Union.

Joseph Guede Goal dakika ya 76.

Mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Azam Complex ni kipindi cha pili ambapo timu zote mbili zinapambana kusaka ushindi.

Dakika 45 za mwanzo timu zote mbili zimekwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa wametoshana nguvu.

Coastal Union wanashambuliwa kwa nguvu na Yanga huku Matampi kipa wa Coastal Union akiwa kwenye kazi kubwa kuzuia mipira ya wapinzani wao.

Mwamba Lameck Lawi ameonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kumchezea faulo Aziz KI.

Previous articleUnaanzaje Jumamosi Yako Bila Kubashiri na Meridianbet?
Next articleBINGWA WA MUUNGANO ATAJWA NA WIZARA YA MICHEZO