
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi, Januari 29,2022
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi, Januari 29,2022
Robo fainali ya mashindano ya AFCON kuendelea wikiendi hii. Mataifa 8 kuipambania nafasi ya kutwaa ubingwa wa Afrika. Kule Ufaransa, Coupe de France itaendelea! Nani ni nani? Jumamosi hii, Gambia kuchuana na Cameroon katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya AFCON. Gambia wanaingia kwenye hatua hii kama underdog lakini, uwezo wao uwanjani sio kitu…
UWANJA wa Bunju Complex, Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandizi Queens. Oppa Clement ametupia mawili na moja alitupia kwa penalti na bao jingine lilitupiwa na Laiya Barakat. Pongezi kubwa kwa kipa namba moja wa Mlandizi Queens ambaye alikuea ni mikono mia. Noaely Marakuti alikuwa imara langoni ndani ya dakika 90…
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Dar City. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 30 na mshindi atasonga hatua ya 16 bora Katika mchezo wa hatua ya 32 bora yule atakayepoteza mchezo safari yake inafika ukingoni jumlajumla. Ikumbukwe kwamba Simba ni…
LEO Januari 28,2022 Simba Queens inakibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mlandizi Queens. Ni mchezo wa Ligi ya Wanawake ambayo inaendelea na unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Simba Queens ni mabingwa watetezi wanakutana na Mlandizi Queens ambayo itawakosa baadhi ya nyota wao ambao wamejiunga na timu ya taifa U 20. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika…
LICHA ya Klabu ya Simba kuanza vibaya msimu huu wa NBC Premier League, mshambuliaji wa klabu hiyo Meddie Kagere ameendelea kuweka rekodi zake ngumu ndani ya kikosi hicho kwa kufunga magoli mengi msimu huu. Klabu ya Simba mpaka sasa wamecheza jumla ya michezo 13 ya NBC Premier League , katika michezo hiyo Meddie Kagere amefunga…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo Januari 27,2022 wamerejea salama Dar es Salaam. Timu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispani ilikuwa Kagera ambapo ilikuwa na mchezo wa ligi uliochezwa jana Januari 26. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 1-0 Simba na…
MKURUGENZI wa Wateja wadogo na wa kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (wa pili kushoto) leo Januari 27,2022 amekabidhi mfano wa tiketi ya kushuhudia mechi ya fainali ya Mashindano ya AFCON nchini Cameroon kwa washindi watatu. Hao ni wa washindi wa droo ya shinda na TemboCard Viza, ikiwa ni pamoja na Njama Ayoub Matumbo,Mwizegwa…
YANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya wadhamini wao, GSM kumuita fasta mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Fiston Mayele kwa ajili ya mazungumzo. Fiston Mayele ndani ya Yanga kwa sasa ndiye kinara wa upachikaji mabao akiwa na jumla ya mabao 6 huku…
USHINDI wa 11 walioupata Yanga, umewapa wachezaji wa timu hiyo bonasi ya Sh 265Mil katika michezo ya Ligi Kuu Bara tangu kuanza kwa msimu huu. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu watoke kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo uliopigwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ushindi huo umewafanya…
Kikosi cha Yanga kimewasili Mwanza leo Januari 27, 2022 tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa Kombe la ASFC dhidi ya Mbao Fc, Jumamosi kwenye Dimba la CCM Kirumba.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar. Ni Hamis Kiiza dakika ya 70 aliwatungua Simba baada ya safu ya ulinzi kufanya makosa katika kuokoa shambulizi la kushtukiza. Hakuna sababu nyingine kwa Franco ambaye alikuwa kwenye uwanja mzuri wa kapeti wa Kaitaba kakwama kushinda ugenini. Simba inabaki na…
MAPUMZIKO Mchezoni ni mapumziko kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Ni kipute cha Ligi Kuu Bara.
KAGERA Sugar leo inashuka Uwanja wa Kaitaba kusaka ushindi mbele ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Hiki hapa kikosi cha kwanza:- Said Kipao Dick Mhilu David Luhende Abdalah Mfuko Nassoro Kapama Yusufu Dunia Ally Ramadhan Jackson Kibirige Hassan Mwaterema Ally Nassoro Meshack Abraham
LEO Januari 26, Uwanja wa Kaiataba unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambapo washambuliaji wote leo wamewekwa benchi na Kocha Mkuu, Pablo Franco. John Bocco na Meddie Kagere pamoja na Yusuf Mhilu hawa wote wameanza kusoma mchezo nje na ndani ni viungo na mabeki wameanza. Hiki hapa…