
YANGA,SIMBA MNASTAHILI PONGEZI KWA KUREJESHA KWA JAMII
PONGEZI kwa watani wa jadi Yanga na Simba kwa kuwa na desturi ya kutembelea wahitaji na kuwajulia hali ni jambo la kiungwana. Jambo hili linapaswa kuwa na mwendelezo kila wakati ili kuwa karibu zaidi na jamii ambao ni wadau na mashabiki wa timu zote Bongo. Yanga wamekuwa na desturi ya kuwatembelea wahitaji na kuwa karibu…