
HESABU ZA MABINGWA WATETEZI NI DHIDI YA POLISI TANZANIA
HESABU za Simba baada ya kumaliza mchezo wao jana Aprili 7 mbele ya Coastal Union na ubao wa Uwanja wa Mkwakwani kusoma Coastal Union 1-2 Simba ni dhidi ya Polisi Tanzania. Simba ni mabingwa watetezi wakiwa nafasi ya pili na pointi 40 inakwenda kukutana na Polisi Tanzania Aprili 10,2022. Polisi Tanzania kwenye msimamo ipo nafasi…