PABLO YUPO DAR TAYARI KUINOA SIMBA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba leo Novemba 10 amewasili Dar kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo inayowania kutetea taji la Ligi Kuu Bara. Kocha huyo amekuja kuchukua mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga kutokana na kushindwa kutimiza lengo la kwanza la timu hiyo la kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa…

Read More

CONTE:KUANZA NA SARE NI MWENDO MZURI

Antonio Conte, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa vijana wake wanahitaji muda zaidi kuweza kurejea kwenye ubora na kuonyesha kile ambacho wanacho ndani ya uwanja huku kuanza kwa sare ya bila kufungana akiamini kwamba ni mwendo mzuri wa kuanzia.   Mrithi huyo wa mikoba ya Nuno Espirito ambaye alifutwa kazi ndani ya timu hiyo kutokana…

Read More

SIMULIZI YA ALIYETAKA KUFURUMUSHWA KISA ALIKUWA KIJIJINI

SIMULIZI ya aliyetaka kufurumushwa kisa alikuwa kiijini Kwa jina ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne sasa. Tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote lililokuwa na kuvunja uhusiano wetu kuja miogoni mwetu. Benson alikuwa ni mwanamume ambaye alijali maslahi yangu nami nilikuwa wa…

Read More

TAIFA STARS MATUMAINI KAMA YOTE KUFUZU KOMBE LA DUNIA

HESABU kubwa kwa sasa kwa Kim Poulsen ambaye ni Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni kuona namna gani timu hiyo itafanikiwa kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 11, Stars itakuwa na kazi mbele ya DR Congo mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Spoti Xtra limezungumza na Poulsen ambaye anafunguka mipango namna hii:- “Wachezaji wapo…

Read More

AZAM FC KUSAJILI MASHINE TATU ZA KAZI

WAKATI vijana wa Azam FC wakiendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22, imeelezwa kuwa mabosi wa timu hiyo wapo kwenye mpango wa kusajili nyota watatu wa kazi kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Mpango kazi unatajwa kuchorwa kwa kuwafuata nyota kutoka Rwanda kwa lengo la kuboresha kikosi hicho ambacho…

Read More

KOCHA UNITED AAMBIWA AONDOKE TU HAMNA NAMNA

RIO Ferdinand, beki wa zamani wa Klabu ya Manchester United amesema kuwa kwa sasa ni muda mzuri kwa Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer, kuondoka ndani ya kikosi hicho kwa heshima kabla ya kutimuliwa. Beki huyo hapo awali alikuwa yupo upande wa kocha huyo kwa kuwa alikuwa akimtetea na alikuwa anaamini kwamba anaweza kuja kufanya vizuri…

Read More

MAKAMBO ATUPIA MBELE YA MLANDEGE,ZANZIBAR

HERITIER Makambo nyota wa Yanga alipachika bao pekee la ushindi katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja Aman dhidi ya Mlandege FC ya Zanzibar.   Katika mchezo huo dakika 45 za awali ngoma ilikuwa ngumu kwa pande zote mbili kupenya katika nyavu na kuwafanya waende mapumziko wakiwa wametoshana nguvu. Ilibidi Yanga wasubiri mpaka dakika ya 49…

Read More

KUMBE MBRAZIL WA SIMBA ALIKUWA NA MKATABA MPAKA 2024

MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Klabu ya Simba amebainisha kuwa alikuwa amesaini dili jipya la kuendelea kuitumikia timu hiyo mpaka 2024 ila haikuwa hivyo baada ya mabosi wa timu hiyo kuamua kuvunja mkataba wake. Nienov alikuwa akimnoa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula, Beno Kakolanya, Jeremia Kisubi na…

Read More

YANGA HAWAJUI KAMA DIARRA ATABAKI HAPO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hauna uhakika na mchezaji huyo kubaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao kutokana na uwezo alionao kwenye mikono yake na akili ya mpira.   Raia huyo wa Mali anaitwa Diarra Djigui huku jina la utani wakimuita ‘Screen Protector’ kutokana na kazi yake anayofanya akiwa kwenye lango.   Ofisa…

Read More

MAKOCHA SIMBA WASHTUSHWA NA UJIO WA PABLO

UJIO wa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania ambaye amepewa dili la miaka miwili umewashtua makocha waliokuwa kwenye timu hiyo kwa kuwa walikuwa hawafahamu lolote kuhusu kuwasili kwake Bongo. Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa makocha hao ilieleza kuwa Seleman Matola ambaye ni kocha msaidizi pamoja na Hitimana Thiery ambaye alikuwa…

Read More

YANGA YAELEKEA ZANZIBAR, KUCHEZA LEO

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo wameanza safari kuelekeza Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za Ligi Kuu Bara. Kikiwa na msafara wake chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Novemba 9 kinatarajiwa pia kuwa na kazi ya kufanya kwa kucheza mchezo wa kirafiki. Kwenye msafara huo wamekosekana nyota wao ambao…

Read More

MTIHANI WA KWANZA WA XAVI NI DABI

XAVI Hernandez kwa sasa ni kocha mpya wa kikosi cha Barcelona na mtihani wake wa kwanza unatarajiwa kuwa dhidi ya Espanyol kwenye Barcelona Dabi itakayochezwa Camp Nou. Dili lake ni mpaka mwaka 2024 Juni 30 ambapo ana kibarua cha kurejesha makali kwenye timu hiyo inayofuatiliwa na watu wengi duniani. Xavi ni mkongwe wa Klabu ya…

Read More

YANGA WASEPA NA TUZO KAMA ZOTE

SHIRIKISHO la Soka Tanzania limebainisha kuwa sababu kubwaya kutoa tuzo kwa wale wanaofanya vizuri ni kuongeza morali kwa wachezaji, makocha pamoja na mameneja ili wafanya kazi yao kwa uzuri zaidi. Kwa sasa tayari ligi imeanza ikiwa ni msimu wa 2021/22 na ni Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba…

Read More

KOCHA WA SIMBA KUJA NA MASHINE MPYA

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco anahitaji kuja na watu wake wa kazi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi zake ambazo atacheza. Pablo ambaye amepewa dili la miaka miwili anatarajiwa kutua nchini muda wowote kuanzia sasa baada ya kutangazwa kuwa mrithi wa mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga. Habari kutoka…

Read More