
YANGA WANAHESABU NDEFU KWA AZAM FC
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwa sasa Yanga inafanya maandalizi ya mwisho kabla ya kumenyana na Azam FC mchezo wa mzunguko wa pili kwa msimu wa 2021/22. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa…