
TATIZO LA MAPIGO HURU LINAITESA SIMBA,JASHO ILIMWAGIKA KIMATAIFA
USIKU wa deni haukawii kukucha walisema wahenga na ilikuwa hivyo Uwanja wa Mkapa kwa wawakilishi wa Tanzania kimataifa kuweza kutimiza jambo lao. Ilikuwa ni lazima ishinde ili itinge hatua ya robo fainali kama haari ingekuwa nyingine,safari ingewakuta Simba waliokuwa wakisaka ushindi mbele ya USGN. Jasho na machozi ya furaha yalimwagika kwa Mkapa baada ya ubao…