
NABI HUYO MPANGO WAKE HUU HAPA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anahitaji kushinda kwenye mechi zake zote ikiwa ni pamoja na dabi mbili mbele ya Azam FC na Simba. Aprili 6, Yanga itamenyana na Azam FC Uwanja wa Azam Complex kisha itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba Aprili 30. Akizungumza na Spoti Xtra,Nabi…