
MKWAKWANI SIMBA WASHINDA MBELE YA COASTAL UNION USIKU
WAKIWA Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara,Simba wameshinda mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union wakipata ushindi usiku kabisa kabla mchezo kukamilika. Dakika 45 za mwanzo Simba iliweza kucheza kwa utulivu na kutengeneza nafasi nne za wazi lakini hazikuweza kuleta matunda kwao. Ni bao la Bernard Morrison dk 40 na lilisawazishwa…