
U 17 WAMEANZA MWENDO,WAUNGWE MKONO
HATUA moja kila wakati tunaona kwa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 kwa namna ambavyo wanafanya vizuri kwenye mechi za kuwania Kufuzu Tiketi ya Kombe la Dunia. Pongezi kwa Serengeti Girls baada ya kuweza kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Burundi mchezo uliochezwa Uwanja wa Urukundo,Ngozi nchini Burundi. Haukuwa mchezo mwepesi…