
SIMBA:TUNAWAFUNGA ORLANDO PIRATES KWA MKAPA
MWINA Kaduguda,Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba amesema kuwa watawafunga Orlando Pirates kwenye mchezo wao wa leo ili waweze kufanikisha lengo la kutinga hatua ya nusu fainali. Leo Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. , Kaduguda amesema kuwa ana…