
BIGIRIMANA WA RWANDA AINGIA ANGA ZA YANGA
BIGIRIMANA Obed kiungo wa Klabu ya Kiyovu ya Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nai raia wa Tunisia. Hesabu kubwa kwa sasa ndani ya vinara hao wa ligi msimu wa 2021/22 ni kuweza kusuka kikosi makini ambacho kitafanya vizuri kwenye mechi za kimataifa. Kwenye msimamo Yanga ina pointi 51…