
KAZI YA JOB ACHA
DICKSON Job, beki wa kati wa kikosi cha Yanga juzi alipiga kazi kwelikweli kwa kushirikiana na wahezaji wenzake ikiwa ni pamoja na Bakari Mwamnyeto,Yanick Bangala mbele ya Geita Gold. Beki huyo wa kati wakati Yanga ikitinga hatua ya nusu fainali aliyeyusha dk 90 na alikuwa ni mtengeneza mipango eneo la kati kwa kuwa pasi zilianzia…