
MRITHI WA PABLO ATUA DAR,NDANI YA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
LEO Mei 30,2022 Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na mchezaji wake Saido Ntibazonkiza baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa miaka miwili. Katika taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga,imeeleza kuwa Ntibazonkiza amemaliza utumishi wake ndani ya klabu hiyo. Taarifa hiyo imeeleza namna hii:”Uongozi wa Klabu ya Yanga unapenda kutoa shukrani za…
WACHEZAJI watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco wanawania tuzo ya mchezaji bora. Tuzo hiyo ni maalumu kwa ajili ya mashabiki ambao wamekuwa wakichagua mchezaji kupitia njia ya mtandao kwa kumpigia kura mchezaji wanayempenda ili aweze kusepa na tuzo hiyo. Ni kiungo mzawa Mzamiru Yassin kiungo wa kazi, Rally Bwalya pia…
PONGEZI kubwa kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17, Serengeti Girls kwa kuweza kutanguliza mguu mmoja hatua ya kufuzu Kombe la Dunia. Ushindi walioupata nchini Cameroon una maana kubwa hivyo ni zamu yao kuweza kuendeleza ule mwendo ambao wameanza nao bila kuchoka. Tuna amini kwamba mchezo wa marudio utatoa picha…
RASMI Klabu ya DTB itatumia jina la Singida Big Star baada ya kulitangaza leo Mei 30,2022 na itahamisha makazi kutoka Dar mpaka Singida. Mtendaji Mkuu wa Singida Big Star, Muhibu Kanu amesema kuwa kila kitu kipo sawa na wameamua kubadili jina kutokana na suala la biashara pamoja na uwekezaji. “Tumeamua kubadili jina kutoka DTB na…
RAIS wa Heshima ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji, Mo ametoa kauli nyingine ya matumaini akiweka wazi kwamba lazima wafanyie kazi maboresho ya maeneo ambayo yanamadhaifu. Simba imepoteza malengo ya kutwaa ubingwa baada ya kuzidiwa pointi 13 na watani zao wa jadi Yanga huku ikiwa imetoka kupoteza taji la Kombe la Shirikisho baada ya…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za kufutwa kazi kutokana na mwendo wa kusuasua wa timu hiyo. Habari zinaeleza kuwa kauli ya Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji kwamba Simba wanapaswa kuchukua maamuzi magumu ni pamoja na kusafisha benchi la ufundi. Ikumbukwe kwamba baada ya Simba kufungwa bao 1-0 dhidi…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa timu hiyo itarejea kwa kishindo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao na kuweza kutwaa taji hilo. Liverpool ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo ila ilipoteza kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Real Madrid kwa kufungwa bao 1-0 jijini Paris. Licha ya kufungwa kwenye fainali…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesesema kuwa bao alilofuga Feisal Salum mbele ya Simba ni la viwango vikubwa na thamani yake ni bilioni. Feisal alifunga bao hilo kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuwaondoa Simba kwenye hatua ya nusu fainali. Manara amesema halikuwa bao jepesi kwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
COASTAL Union ya Tanga leo Mei 29 imekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali Kombe la Shirikisho kwa ushindi mbele ya Azam FC. Ilikuwa dakika 120 za kazi kwa kuwa dk 90 ubao ulisoma Coastal 0-0 Azam FC, na hata zilipoongezwa 30 kukamilisha 120 bado ngoma ilikuwa ni ngumu kwa timu zote. Mshindi amepatikana kwa…
COASTAL Union 0-0 Azam FC, mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penalti Uwanja wa Sheikh Amri Aeid Karume,Arusha. Dakika 120 zimekamilika bila timu hizi kufungana. Hivyo mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penalti ili aweze kutinga hatua ya fainali. Ni Yanga wametangulia hatua ya fainali inayotarajiwa kucezwa Julai 2,2022.
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold amesema kuwa wanahitaji kumaliza ligi ndani ya tano bora hivyo wataendelea kupambana kufanikisha malengo yao. Mchezo uliopita ubao wa Uwanja wa Sokoine, ulisoma Tanzania Prisons 1-1 Geita kwa mabao ya Jeremia Juma dk ya 38 na Danny Lyanga dk ya 50. Minziro amesema kuwa kila wanapomaliza mchezo ni…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amewapiga dongo kiaina wapinzani wao Simba kwa kubainisha kwamba mashabiki wa timu iliyoshinda wanapaswa kuamka mapema wengine saa 7 mchana. Yanga Mei 28 iliweza kuwatungua watani zao wa jadi Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho, Uwanja wa CCM Kirumba. Bao pekee la ushindi…
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa mashabiki wa Azam FC wana kazi moja tu kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuweza kushuhudia burudani. Azam FC leo Mei 29 itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la…
WAKATI leo Mei 29 Coastal Union ikitarajiwa kutupa kete yake mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali, Kombe la Shirikisho, Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema kuwa Azam FC wana timu nzuri. Mgunda ambaye ni Kocha Mkuu wa Coastal Union ameweka wazi kwamba anawaheshimu wapinzani wake na anaamini wataleta ushindani mkubwa lakini…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili