
KOCHA HUYU KAIZER CHIEFS ATAJWA SIMBA
IMEELEZWA kuwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Gavin Hunt yupo kwenye rada za mabosi wa Simba ili achukue mikoba ya Pablo Franco. Kocha huyo alikuwa kwenye benchi la ufundi Mei 15,2020 wakati timu yake ikishinda mchezo wa kwanza mbele ya Simba kwa mabao 4-0. Kwa sasa kikosi cha Simba kipo chini…