
REAL MADRID MABINGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA
REAL Madrid wametwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuitungua bao 1-0 Liverpool kwenye mchezo wa hatua ya fainali iliyochezwa Uwanja wa de France. Licha ya Liverpool kuwa na matumaini ya kuweza kulipa kisasi cha mwaka 2018 walipokutana kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Real Madrid kuweza kushinda bado wakati huu wameshindwa…