KOCHA SIMBA AFUNGUKA “TUNA RATIBA NGUMU”

  PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba, amesema wana ratiba ngumu jambo linalowafanya kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi.   Jana Jumamosi, Simba ilitarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro. Kabla ya mchezo huo, Simba imetoka kupoteza mbele ya Mbeya City kwa kufungwa bao 1-0….

Read More

AZAM FC WAINYOOSHA PRISONS 4G, AJIBU AKIWASHA

TANZANIA Prisons wana kazi ya kujipanga upya baada ya kukubali kunyooshwa mabao 4-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela. Mabao ya Azam yalifungwa na Tepsie Evance dakika ya 27’, Ismail Kada dakika ya 69’, Ibrahim Ajibu  dakika ya 71’ na Charlse Zulu 83. Ajibu aliingia kwenye mchezo huo…

Read More

REKODI ZA KADO MANUNGU NDANI YA DAKIKA 90

KUTOKANA na kitendo chake cha kupoteza muda mwamuzi wa kati Nassoro Mwinchui aliweza kumuonyesha kadi ya njano kipa Shaban Kado. Mbali na kadi hiyo aliweza kutimiza majukumu yake vema akiwa na jezi ya Mtibwa Sugar wakati wakiibana Simba kushindwa kupenya katika ngome za Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu na alitumia dakika zote 90. Kado alikuwa…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA HII HAPA,YANGA KAZINI

LEO Jumapili, Januari 23,2022 vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanatarajiwa kuwa na mchezo wa ligi dhidi ya Polisi Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 32 inakutana na Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu Malale Hamsini ikiwa na pointi 18. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani…

Read More

KLOPP ANAAMINI MARTINELL ATAKUJA KUWA TISHIO

KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp anaamini kwamba nyota wa Arsenal, Gabriel Martinelli atakuja kuwa tishio baadaye ikiwa ataendelea kuwa kwenye mwendo mzuri. Kocha huyo ameweka wazi kwamba atakuja kufanya vizuri pia ikiwa hatapata majeraha kwa kuwa ikiwa hivyo itakuwa shida kwake kuweza kucheza katika ubora ambao ameanza nao. Raia huyo wa Brazil ameanza vema…

Read More

MANUNGU MILANGO MIGUMU,MTIBWA SUGAR O-0 SIMBA

UWANJA wa Manungu milango ni migumu kwa timu zote mbili hakuna ambaye ameona lango. Wanagawana pointi mojamoja katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa. Aishi Manula na Shaban Kado hawa wote wameibuka na ushujaa kwa kuwa hakuna ambaye ameokota mpira wavuni. Simba ina kibarua kizito sasa kwa Kagera Sugar mchezo unaofuatwa  na…

Read More

DAKIKA 45:MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA

UWANJA wa Manungu dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kuenda mapumziko wakiwa wametoshana nguvu. Ubao unasoma Mtibwa Sugar 0-0 Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara. Timu zote zipo kwenye ubora ambapo Uwanja wa Manungu ni changamoto kwa timu zote mbili. Kiungo Said Ndemla wa Mtibwa Sugar ni moto mkali ndani ya dakika 45 huku Inonga…

Read More

MASHINE MPYA YANGA YAIPIGIA HESABU SIMBA

IKIWA ni mara ya kwanza amecheza mechi akiwa na Yanga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni, beki Mzanzibar, Ibrahim Bacca, amesema kuwa amekuja Yanga ili kuweza kutimiza majukumu ya kusaka ubingwa. Kwa sasa ubingwa wa ligi upo mikononi mwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Bacca amesema kuwa ni fahari kwake kucheza ndani…

Read More

UWANJA WA MANUNGU CHANGAMOTO KWA SIMBA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Uwanja wa Manungu si rafiki kwa wachezaji wake kucheza lakini wapo tayari kusaka pointi tatu. Uwanja wa Manungu uliopo Morogoro una uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 na umepitishwa kuweza kutumika katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Pablo amesema:”Mchezo wetu dhidi ya Mtibwa Sugar ni muhimu…

Read More

BEKI WA KAZI KIMENYA KUIKOSA AZAM FC

TANZANIA Prisons ikiwa imecheza jumla ya mechi 12 ndani ya Ligi Kuu Bara na kukusanya pointi 11 leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC. Azam FC ipo nafasi ya 5 imecheza mechi 12 na kibindoni ina pointi 18. Beki wa kazi chafu mwenye uwezo wa kupanda na kushuka, Salum Kimenya ataukosa…

Read More

POLISI TANZANIA V YANGA KUPIGWA SHEIKH AMRI ABEID

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Yanga unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika, Moshi kutokana na uwanja huo kuwa na matumizi mengine sasa mchezo utachezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kwa namna…

Read More

LIGI KUU TANZANIA BARA LEO RATIBA

JANUARI 22, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea na kutakuwa na kazi kubwa katika viwanja vitatu tofauti kwa timu kusaka pointi tatu. Ni Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Ngoma ya Mtibwa Sugar v Simba itapigwa Uwanja…

Read More