
AZAM FC YAINYOOSHA MBEYA KWANZA,NAFASI YA 3
AZAM FC imewashusha Geita Gold kwenye nafasi ya tatu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza. Mchezo huo ulichezwa katika Uwanja wa Azam Complex na ulikuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa Mbeya Kwanza wanapambana kushuka daraja. Ni mabao ya Shabaan Chilunda dk ya 45+1 na Idris Mbombo aliyepachika bao hilo dk ya…