
KAMBI YA YANGA RAMANI INACHORWA HIVI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa wanafanya vikao kuweza kujadili wapi wataweka kambi kwa msimu wa 2022/23. Awali mpango namba moja wa Yanga kuweka kambi ulipaswa kuwa nchini Uturuki lakini umeyeyuka ghafla kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni muda kuwa mdogo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli ameweka wazi kuwa kambi…