
SAUTI:MUKOKO TONOMBE TENA ATAJWA YANGA
MUKOKO Tonombe kiungo wa zamani wa Yanga anatajwa kurejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya Tanzania
MUKOKO Tonombe kiungo wa zamani wa Yanga anatajwa kurejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya Tanzania
SINGIDA Big Stars kwa msimu wa 2022/23 imeweka kambi yake Arusha ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti. Timu hiyo kwa sasa inaendelea kufanya maboresho kwa kuwatambulisha wachezaji wapya ambao imewapa madili mapya. Ikumbukwe kwamba awali ilikuwa inaitwa DTB wakati huo ilipokuwa inashiriki Championship na kwa sasa imebadili jina na inaitwa Singida Big…
GEORGE Mpole mtupiaji namba moja ndani ya ligi msimu wa 2021/22 baada ya kufunga mabao 17 huenda akasalia ndani ya Geita Gold. Awali alikuwa anatajwa kuibuka ndani ya timu zilizomaliza tatu bora kwa ajili ya kuwa hapo msimu wa 2022/23. Kocha wa Geita Gold,Felix Minziro aliwahi kusema kuwa kutokana na kiwango ambacho amekionyesha mchezaji huyo…
KIUNGO wa Simba, Pape Sakho amewaomba mashabiki na kila mmoja kuendelea na zoezi la kumpigia kura kwenye kipengele ambacho amechaguliwa kuwania tuzo ya bao bora la mwaka la CAF. Nyota huyo alifunga bao kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambapo alipachika bao hilo kwa mtindo wa tik taka, ilikuwa ni Uwanja wa Mkapa. Kwa sasa…
UONGOZI wa Azam FC umefunga usajili wao kwa kumtambulisha beki wa kati wa kimataifa raia Senegal, Malickou Ndoye, akitokea Teungueth FC ya huko. Taarifa iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa Ndoye mwenye miaka 22, ni mmoja wa mabeki wanaokubalika na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse ambaye alimjumuisha kwenye kikosi kilichoshiriki…
KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo. Awali nyota huyo alikuwa anatajwa kuingia anga za Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na kulikuwa na mazungumzo na timu mbalimli. Kipa huyo ni chaguo la kwanza ndani ya Simba ambapo kwa sasa yupo…
IKIWA imeweka kambini nchini Misri kwa ajili ya maanalizi ya msimu wa 2022/23 Simba inatarajiwa kufunga usajili wake na mastaa watatu
AISHI Manula kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanajifunza wanazidi kuimarika kuelekea mechi ya kuwania kufuzu nafasi ya CHAN dhidi ya Somalia
UONGOZI wa Yanga umebainisha sababu ya kambi kuwekwa Dar pamoja na mipango ya Wiki ya Mwananchi
YANGA yaifunika vibaya Simba Bongo ndani ya Championi Jumatano
WIKI ya Mwananchi itaanza rasmi Agosti Mosi mwaka huu wa 2022 ambapo wanatarajia kucheza mchezo na timu ya kimataifa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amebainisha kwamba kambi ya maandalizi kwa msimu wa 2022/23 inatarajiwa kuanza kesho Julai 20,2022 Kigamboni. “Tutafanya kambi yetu Kigamboni ambapo kuna eneo zuri na…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa leo itakuwa ni siku rasmi ya mastaa wao kuweza kuanza kambi ya ndani kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa na maandalizi yataanza nyumbani kabla ya safari ya kuelekea Misri. “Tutaanza na kambi ya nyumbani,Jumanne…
MCHAMBUZI Oscar Oscar amewachambua mastaa wa Simba na Yanga ikiwa ni pamoja na Yannick Bangala,Augustino Okra
KUELEKEA Simba v Yanga itakuwa ni noma kutokana na vikosi kuwa imara kwa timu zote msimu wa 2022/23
MASTAA wawili ndani ya Yanga, Chico Ushindi na Yacouba Songne hawatakuwa kwenye mpango wa kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23 ambapo leo Julai 19,2022 Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ameweza kuzungumzia suala hilo
AGOSTI 8,2022 inatarajiwa kuwa siku rasmi ya Simba Day ambayo itafanyika Uwanja wa Mkapa. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo ambayo kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,Zoran Maki. Timu hiyo imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi…
MASTAA watano wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Zoran Maki wamewasili nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Ni Taddeo Lwanga,Peter Banda,Moses Phiri,Henock Inonga na Nassoro Kapama ilikuwa ni Julai 18 na walianza mazoezi pamoja na mastaa wengine ikiwa ni pamoja na John Bocco,Meddie Kagere