
GABRIEL JESUS KUIBUKIA ARSENAL
KAMA mambo yakienda sawa, basi wiki ijayo, Arsenal itamtabulisha Gabriel Jesus ambaye wamemnasa kwa pauni 50m akitokea Manchester City. Arsenal kumpata straika huyo ni baada ya kuzipiku Tottenham na Chelsea ambazo nazo zilionekana kumuhitaji. Inatajwa kwamba, tayari Arsenal imekamilisha dili hilo na vimesalia vitu vichache tu kumaliza kila kitu na wakati wowote atafanyiwa vipimo vya…