
MTIBWA SUGAR KUCHEZA KAMA FAINALI LEO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba utapambana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Yanga kama fainali ili kuweza kupata ushindi. Mtibwa Sugar ikiwa itapoteza mchezo wa leo inajiweka kwenye nafasi ya kushuka daraja jumlajumla jambo ambalo Mtibwa Sugar hawahalipendi. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 12 na ina pointi 31 huku Yanga ikiwa nafasi ya…