
MAKOCHA HAWA WAINGIA RADA ZA SIMBA
TARIK Sektioui ambaye aliwahi kuifundisha RS Berkane ya Morocco ni raia pia wa Morocco anatajwa kuwa kwenye mazungumzo na Simba. Kocha huyu anatajwa kuwa miongoni mwa warithi wa Pablo Franco ambaye alifutwa kazi baada ya kupoteza mchezo wa Kombe la Shirikisho mbele ya Yanga. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu ambaye…