
WINGA HUYU ATUA BONGO,ATAJWA KUIBUKIA SIMBA
WINGA, Harrison Mwendwa ametua Dar es Salaam leo Juni 24 ambapo anatajwa kuwa amekuja kukamilisha suala la usajili wake na timu moja inayosiriki Ligi Kuu Bara. Winga huyo anatajwa kuingia kwenye rada za Azam FC,Yanga na Simba ambazo zinahitaji kuweza kupata saini yake kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23. Mguu wake wenye nguvu ni…