UJANJA WA NONGA NI UWANJA WA SOKOINE
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Mbeya City, Paul Nonga, ujanja wake wa kucheka na nyavu ni kwenye Uwanja wa Sokoine. Msimu wa 2021/22 ametupia mabao matatu ndani ya ligi kati ya 17 ambayo yamefungwa na timu hiyo baada ya kucheza mechi 15. Ameanza kikosi cha kwanza mechi 12 kati ya 15 na alitibua rekodi ya Simba…