LIVERPOOL MABINGWA WA CARABAO CUP
LIVERPOOL ni mabingwa mara 9 wa Carabao Cup na usiku wa kuamkia leo waliweza kufikisha taji lao hilo la 9 muhimu. Ni ushindi wa penalti 11-10 dhidi ya Chelesea baada ya dakika 120 kukamilika bila kupatikana mbabe kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Wembeley. Mipango ya Kocha Mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel kumuamini Kepa Arrizabalaga…