MASAA 48 YATENGWA NA KOCHA SIMBA KUSUKA KIKOSI
PABLO Franco Kocha Mkuu wa Simba ametenga siku mbili sawa na saa 48 za vijana wake kupata ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United ambao unatarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba Machi Mosi 2022 kikosi cha Simba kiliweza kurejea nchini baada ya kuwa Morocco kwenye mechi ya kimataifa na…