WATANO WA YANGA KUIKOSA GEITA GOLD
NYOTA watano wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Geita Gold. Ni Jesus Moloko, Djuma Shaban pamoja na Khalid Aucho ambao hawa hawapo fiti kuweza kuanza mchezo wa leo. Aucho inaripotiwa kwamba amepata majeraha huku Djuma akitajwa kuwa na Mlaria na Moloko yeye ni…