Home International BARCELONA WAINYOOSHA NAPOLI

BARCELONA WAINYOOSHA NAPOLI

WAKIWA ugenini walishuhudia ubao ukisoma Napoli 2-4 Barcelona baada ya dakika 90.

Ni mabao ya Lorenzo Insigne dakika ya 23 kwa mkwaju wa penalti na Matteo Politano dakika ya 87 kwa upande wa Napoli.

Ni Jordi Alba dakika ya 8,Frenkie de Jong dk 13, Gérard Pique yeye alitupia bao moja dk ya 45 na hapo pichani anaonekana namna alivyweza kuwa na furaha.

Ingizo jipya Pierre Aubameyang alitupia pia katika mchezo huo ilikuwa dakika ya 59 ni katika mchezo wa Europa League uliochezwa Uwanja wa San Paolo.

Barcelona imefuzu hatua ya 16 bora safari ya kwenda robo fainali imewadia.

Previous articleMECHI SITA ZA UGENINI ZA YANGA,NNE KUPIGWA NJE YA DAR
Next articleUJANJA WA NONGA NI UWANJA WA SOKOINE