
KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA ARDHI YA DAR
KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama Dar kikitokea Songea ambapo kilikuwa na mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza. Sima chini ya Kocha Msaidizi Selaman Matola ilitoshana nguvu bila kufungana na Mbeya Kwanza katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji,Songea. Matola amesema kuwa kukamilika kwa msimu huu wa 2021/22 ni mwanzo wa…