
MRITHI MIKOBA YA JOHN BOCCO KUJULIKANA
ILE vita ya nani atasepa na kiatu cha ufungaji bora kilicho mikononi mwa John Bocco nahodha wa Simba itajulikana rasmi leo Juni 29,2022 kwenye mechi za mwisho wa msimu wa ligi. Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kusepa na kiatu hicho kati ya washambuliaji wawili ambao ni mzawa Geogrge Mpole wa Geita Gold pamoja na…