
BANDA APATA TIMU AFRIKA KUSINI
MTANZANIA Abdi Banda amepata changamoto mpya kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake kwa msimu mpya wa 2022/23. Banda ambaye ni nyota wa zamani wa Baroka FC ya Afrika Kusini amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Kabla ya kujiunga na Chippas Banda aliwahi kukipiga pia Highland…