
MNIGERIA WA SIMBA AWAPIGA MKWARA YANGA
KIUNGO mpya wa Simba, Mnigeria, Victor Akpan, ameanza kwa kuwachimba mkwara wapinzani wao Yanga kwa kuwaambia kuwa wasubirie moto wake katika mchezo wa Ngao ya Jamii ili apunguze maumivu ya kukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) akiwa na Coastal Union. Kiungo huyo amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea…