
SAUTI:KAMBI YA YANGA ITAKUWA ULAYA
YANGA wanatarajia kuweka kambi Ulaya ikiwa mambo yatakwenda sawa na ikishindikana basi wataangalia sehemu itakayowafaa kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23
YANGA wanatarajia kuweka kambi Ulaya ikiwa mambo yatakwenda sawa na ikishindikana basi wataangalia sehemu itakayowafaa kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23
AHMED Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya Klabu ya Simba ameweka wazi kuwa watarejea waikiwa imara baada ya kuweka ambi nchini Misri. Kesho,kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Zoran Maki kinatarajiwa kuweza kuelekea nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Ahmed ameweka wazi kuwa watakuwa kamili kuelekea nchini…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa wapinzani wao watasubiri kuwashusha hapo walipo kwa sasa. Yanga imeweza kumalizana na nyota wa kazi ikiwa ni pamoja na kiungo Bernard Morrison,Lazarus Kambole na Gael Bigirimana ambao wana uhakika wa kuwa kwenye kikosi hicho msimu ujao. Ofisa Habari wa Yanga, Haji…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa usajili wa wachezaji wazawa ndani ya kikosi hicho ni usajili wa kuweza kusimamisha nchi kwa kuwa kila mchezaji ana thamani kubwa. Tayari Simba imetambulisha wachezaji wawili wazawa kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ni pamoja na Habib Kyombo aliyekuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza na Nassoro Kapama ambaye alikuwa…
NYOTA wa Tanzania, Simon Msuva ameshinda kesi yake na anatajwa kuibukia ndani ya Klabu ya Yanga
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba, Kocha Mkuu Zoran Maki amekubali kuweza kusimamia malengo na dira ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23. Masharti ambayo amekubali kuweza kutimiza ni pamoja na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara,Kombe la Shirikisho,Ngao ya Jamii pamoja na kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Maki amepewa mkataba…
KOCHA wa Manchester United raia wa Uholanzi Eric Ten Hag amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hauzwi. Ten Hag ameyasema hayo kufuatia kuwepo kwa tetesi zinazomuhusisha nyota huyo kutimka katika viunga vya Old Trafford kufuatia klabu hiyo kutoshiriki katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA. “Hajaniambia…
YANGA imemtambulisha beki mpya ambaye ni Joyce Lomalisa,hizi hapa rekodi zake
KCHEKI ufundi wa Augustino Okrah winga mpya anayetajwa kuibukia Simba
KOCHA Mkuu wa Simba,Zoran Maki leo Julai 12,2022 ametambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba ambapo ameweka wazi kwamba anatambua kwenye kila nchi kuna mechi za dabi. Leo amewasili Tanzania raia huyo wa Serbia na anatarajia kukiongoza kikosi hicho kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa ni mkataba ambao amesaini kuwatumikia washindi hao wa pili kwenye ligi….
GAEL Bigirimana ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga linapewa nafasi ya kufanya vizuri kwenye kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23 kutokana na uzoefu ambao anao.
KAMBI Yanga imenoga,Simba haipoi ndani ya Spoti Xtra Jumanne
MASTAA watatu wa kimataifa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za Simba ambayo jana ilimtambulisha nyota mpya ambaye Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar. Kapama yeye ni mzawa amepewa dili la miaka miwili kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo. Cesar Manzoki huyu ni raia wa Uganda kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho na…
JULAI 22,2022 kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka Dar na kuibukia nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 watakaa huko hadi Agosti 12,2022 kwenye Mji wa El Gouna, Kwa Mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amebainisha hayo kwa kuweka wazi kuwa hayo yametokea baada ya vikao kuweza…
JOYCE Lomalisa ni nyota mpya ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kutambulishwa usiku wa kuamkia leo Julai 12,2022 na mabosi wa timu hiyo ambayo imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22. Yeye ni beki raia wa DR Congo kwa dili la miaka miwili ambapo alikuwa akicheza Klabu ya Bravaso do Maqui…
AISHI Manula,kipa namba moja wa Simba inatajwa kwamba bado hajasaini ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho ambacho kimemaliza ligi kikiwa nafasi ya pili katika ligi.
MWANDISHI mkongwe wa Habari za Michezo, Saleh Ally, ‘Jembe’ ameweka wazi kuwa kuhusu kushindwa kwa Simba sio Barbara pekee bali ni Simba wenyewe kiujumla na kwenye upande wa usajili wamekuwa wakifanya kazi nzuri kwa kufanya usajili mzuri ikiwa ni pamoja na Pape Sakho huku wengine wakiwa waliletwa na Simba kisha wakasajiliwa na timu nyingine. Pia…