
MAYELE VIGINGI VYAKE VITATU HIVI HAPA DHIDI YA SIMBA
MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele aliyefunga mabao 16 kwenye ligi anatarajiwa kukwaa vigingi vitatu Agosti 13, kwenye mchezo dhidi ya Simba. Nyota huyo anashikilia rekodi ya kuwatungua Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa msimu wa 2021/22 wakati huo alipokuwa chini ya beki bora wa msimu Henock Inonga raia wa DR…