
AZAM FC WAMETISHA WATWAA UBINGWA NA BADO WANA MECHI
TIMU ya vijana chini ya miaka 17 ya Azam FC imetwaa ubingwa wa ligi ya Vijana wa umri huo baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Karume. Azam FC waliingia kwenye mchezo huo wakihitaji sare tu ili kuwa mabingwa baada ya kujikusanyia alama 25 katika michezo 9 iliyokuwa imeshafanyika….