
BEKI YASSIN AJIUNGA NA SINGIDA BIG STARS
YASSIN Mustapha leo Julai 18,2022 ameweza kutambulishwa kuwa ni mali ya Klabu ya Singida Big Stars. Beki huyo msimu wa 2021/22 alikuwa anakipiga ndani ya mabingwa wa ligi ambao ni Yanga. Ni dili la miaka miwili ameweza kusaini kuweza kupata changamoto mpya katika timu mpya ambayo atakuwa anacheza kwa msimu ujao. Kwa mujibu wa Ofisa…