GEITA GOLD RUKSA KUFANYA USAJILI

KLABU ya Geita Gold imethibitisha kuwa imeruhusiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kukidhi vigezo kwa kumalizana na kocha Etienne Ndayiragije aliyekuwa anaidai. Juni 25, mwaka huu FIFA iliifungia timu hiyo kusajili hadi itakapomlipa aliyekuwa Kocha wake, Ettiene Ndayiragije ambaye alifungua madai akidai fidia ya kuvunjiwa mkataba na malipo mengine…

Read More

MGHANA ASAINI AZAM FC MIAKA MIWILI

RASMI Mghana James Akaminko, aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Great Olympic ni mali ya Azam FC. Akaminko mwenye miaka 26 ni mmoja wa viungo wabunifu kwenye Ligi Kuu ya Ghana amesaini dili la miaka miwili. Kiungo huyo nyota, aliwahi kucheza soka la kulipwa nchini Tunisia katika timu ya US Tataouine, amepita pia kwa vigogo…

Read More

USIKU WA MANANE YANGA WAMTAMBULISHA WINGA WA KAZI

 RASMI Yanga imefanikiwa kupata saini ya winga wa kimataifa wa Burkina Faso, Aziz Ki ambaye ametambulishwa usiku wa kuamkia leo Julai 15, 2022. NI usiku wa manena nyota huyo winga wa kazi aliyewapa tabu Simba kwenye mashindano ya kimataifa aliweza kutamulishwa rasmi. Nyota  huyo ametokea Klabu ya ASEC Mimosas inayoshirki Ligi Kuu ya Ivory Coast ambapo…

Read More

SPORTPESA WAISHUKURU SIMBA,WAJIVUNIA MAFANIKIO

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Tarimba Abbas, amewatakia heri Klabu ya Simba kwa kuingia mkataba mpya na M-Bet, huku akiwashukuru kwa ushirikiano wao ndani ya miaka mitano ya udhamini wao.  Tarimba amesema ulikuwa mkataba wa mafanikio makubwa, hivyo baada ya kupata barua yao ya kuachana nao rasmi walifurahi maana wana mengi ya kujivunia…

Read More

KIUNGO WA KIMATAIFA KUTAMBULISHWA YANGA

KIUNGO Aziz KI  anatarajiwa kutambulishwa leo Julai 14 na mabosi wa Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili. Nyota huyo alikuwa anacheza ASEC Mimosas mkataba wake umegota ukingoni hivyo atajiunga na Yanga akiwa ni mchezaji huru. Anakwenda kuungana na kiungo Bernard Morrison ambaye aliwahi kucheza naye kwenye mashindano ya kimataifa zama zile Morrison alipokuwa…

Read More

MASTAA WATANO SIMBA HAWATAKWENDA MISRI

MASTAA watano wa kikosi cha Simba wataachwa Bongo kwa ajili ya kuweza kutimiza majukumu yao kwenye timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stasr. Kikosi cha Simba leo Julai 14,2022 kinatarajiwa kukwea pipa kueleka nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…

Read More

RAHEEM NI CHELSEA RASMI

STAA Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa Manchester City muda mfupi kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Klabu ya Chelsea ya Uingereza. Katika ujumbe wake Sterling amewashukuru mashabiki na timu ya Manchester City pamoja na bechi la ufundi kwa ujumla kutokana na namna walivyokuwa naye katika nyakati nzuri na…

Read More

AZIZ KI NI NJANO NA KIJANI

MUDA wowote kuanzia sasa huenda Yanga ikamtambulisha nyota wao mpya ambaye ni Aziz KI ambaye anacheza ndani ya kikosi cha ASEC Mimosas. Yanga inaendelea kufanya usajili kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho ambacho kitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga watawapa kile ambacho mashabiki wao wanasubiri utambulisho wa staa huyo raia wa Ivory Coast. Nyota…

Read More

YANGA YATAMBIA USAJILI WAO BARA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa wapinzani wao watasubiri kuwashusha hapo walipo kwa sasa. Yanga imeweza kumalizana na nyota wa kazi ikiwa ni pamoja na kiungo Bernard Morrison,Lazarus Kambole na Gael Bigirimana ambao wana uhakika wa kuwa kwenye kikosi hicho msimu ujao. Ofisa Habari wa Yanga, Haji…

Read More

SIMBA:WACHEZAJI WAZAWA KWETU WANASIMAMISHA NCHI

 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa usajili wa wachezaji wazawa ndani ya kikosi hicho ni usajili wa kuweza kusimamisha nchi kwa kuwa kila mchezaji ana thamani kubwa. Tayari Simba imetambulisha wachezaji wawili wazawa kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ni pamoja na Habib Kyombo aliyekuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza na Nassoro Kapama ambaye alikuwa…

Read More