VIDEO:MWENYEKITI WA SIMBA AFUNGUKIA ISHU YA USAJILI
MWENYEKITI wa Simba, Murtanza Mangungu ameweka wazi kuwa wachezaji wa Simba wanajitambua na hakuna ambaye atafanikiwa kuwatoa mchezoni wachezaji kutokana na masuala ya usajili.
MWENYEKITI wa Simba, Murtanza Mangungu ameweka wazi kuwa wachezaji wa Simba wanajitambua na hakuna ambaye atafanikiwa kuwatoa mchezoni wachezaji kutokana na masuala ya usajili.
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utatumia dk 90 kwenye mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Mafunzo kwa ajili ya kuandaa kikosi kazi kitakachomenyana na Azam FC. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imekusanya pointi 48 ikiwa nafasi ya kwanza inatarajiwa kumenyana na Azam FC iliyo nafasi ya 3 na pointi 28 zote zimecheza…
TIMU ya Taifa ya Misri yenye nahodha wake Mohamed Salah imefungashiwa virago katika kuwania kufuzu mchezo wa Kombe la Dunia mbele ya Senegal. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Me Abdoulaye Wade ulisoma Senegal 1-0 Misri na bao lilikuwa la kujifunga lilifungwa na Hamdin Fathi dk 4. Misri iliondolewa kwa changamoto za penalti ambapo ni penalti…
MCHEZAJI wa Yanga Princess na Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars Asha Masaka leo Machi 30,2022 ameanza safari kuelekea Sweden. Mshambuliaji huyo anakwenda kuanza changamoto mpya za maisha katika Klabu ya BK Hacken ya nchini Sweden. Timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Sweden itakuwa na nyota huyo mzawa ambaye alikuwa ni chaguo…
VURUGU kubwa ilitokea usiku wa kuamkia leo kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar kati ya Nigeria dhidi ya Ghana. Ubao wa Uwanja wa Moshood Abiola nchini Abuja ulisoma Nigeria 1-1 Ghana na Nigeria kuweza kufungashiwa virago kwa Ghana kupata faida ya bao la ugenini na jumla waliweza kufungana bao 1-1….
IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amepata majeraha yaliyomfanya aondolewe kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, hivyo kuna uwezekano mkubwa akaikosa mechi ijayo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam itakayochezwa Aprili 6, mwaka huu. Kwa sasa Taifa Stars ipo kambini kwa ajili ya kucheza mechi za…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
LEO Machi 29, benki ya NBC ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara ya Tanzania wameingia makubaliano na Shirikisho la Mpira Tanzania kwa ajili ya Bima ya Afya na maisha. Makubaliano hayo ni maalumu ambapo TFF imeweza kuingia na NBC ili kuweza kutoa bima za afya kwa familia ya michezo. Bima hizo za afya zinatarajiwa…
LICHA ya staa mkubwa wa Hollywood, Will Smith kuomba msamaha jukwaani baada ya kumzaba kofi mchekeshaji Chris Rock, staa huyo pia ametumia akaunti yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram kuendelea kuomba radhi, safari hii akimuomba pia radhi Rock kwa kitendo alichomfanyia. Will Smith ameandika:“Vurugu katika namna yake yoyote ni sumu na hubomoa. Tabia yangu…
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo Jumanne kitacheza mchezo wa pili wa kirafiki dhidi ya Sudan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 1:00 usiku, Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema vijana wake wapo vizuri kukabiliana na wapinzani wao. Mchezo huu unakuja baada ya…
UONGOZI wa Yanga umefunguka ishu ya mshambuliaji wao wa kati kipenzi cha mashabiki, Fiston Mayele kuhusishwa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Yanga wametoa tamko rasmi kuwa mzee huyo wa kutetema hataondoka kutokana na kuwa na mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo. Mayele kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo wa Yanga akiwa ndiye…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa wanahitaji ushindi katika mchezo wao wa Jumapili dhidi ya US Gendarmerie unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Simba iliyo nafasi ya tatu ina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu ili kuweza kukata tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali. Tayari kikosi kipo kambini kwa ajili ya maandalizi…
Kwa muda mrefu sasa, unapoizungumzia Kasino ya Meridianbet, unazungumzia Jakipoti za Kasino na ushindi mkubwa! Kwa mwaka 2022 pekee, mpaka sasa kuna washindi wawili wametusua ushindi mkubwa!! Mchezaji mwingine wa Kasino kupitia Meridianbet alijaribu bahati yake kupitia mchezo wa Crazy Time unaotengenezwa na kampuni ya Evolution. Gurudumu lenye maajabu ya kusaka pesa lilifanya kazi…
KUNA namna ya kufanya hasa katika kipindi kigumu ambacho wanakuwa wanapitia wachezaji kwenye kusaka ushindi ndani ya uwanja bado wanapaswa kulindwa na kupewa kile ambacho wanastahili. Kawaida ya wapambanaji ni muhimu kulindwa kwa kuwa wakati huu wa mzunguko wa pili mambo huwa yanakuwa tofauti na mengi hubadilika. Tunaona kwamba wachezaji muhimu ambao ni chaguo la…
MMILIKI wa Klabu ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu England, Roman Abramovich imeripotiwa kuwa yupo sawa baada ya kutajwa kuwa na dalili za maumivu katika macho huku ikitajwa kuwa ni sumu za kemikali. Kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi wa mtandao wa Bellingcat, Abramovich na Ukraine walikuwa katika mazungumzo ya masuala ya amani alikuwa akisumbuliwa na…
BADO kidogo kitaumana Uwanja wa Mkapa kwa watani wa jadi kukutana huku kwa sasa wachezaji wa timu zote mbili wakiwa kwenye msako wa kuongeza rekodi. Aprili 30, timu hizo zinatarajiwa kukutana na ule mchezo wa mzunguko wa kwanza walitoshana nguvu bila kufungana na kila mmoja akasepa na pointi mojamoja. Sasa rekodi za mastaa wa timu…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne