BUKAYO SAKA ANDOLEWA KAMBI YA TIMU YA TAIFA

BUKAYO Saka ameondolewa katika kikosi cha timu ya Taifa ya England baada ya kukutwa na maambukizi ya Corona. Saka nyota wa Arsenal alifanya mazoezi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya England Jumanne lakini kwa sasa ametengwa St. George Park tangu Jumatano na kwa sasa amerejea nyumbani. Saka alitweet kuwa ameondolewa katika kikosi cha timu…

Read More

MABOSI WAJITOKEZA KUINUNUA CHELSEA

IMERIPOTIWA kuwa familia ya Ricketts ipo kwenye orodha ya wale ambao wanahitaji kuinunua Klabu ya Chelsea inayomiliki Uwanja wa Stamford Bridge. Pia wengine ni pamoja na Mwenyekiti wa zamani wa Liverpool Martin Broughton. Kwa mara ya kwanza ililipotiwa na Sky News siku ya Alhamisi huku Boston Celtics na mmiliki wa kampuni ya Atalanta Stephen Pagliuca…

Read More

WALIOPEWA NAFASI TAIFA STARS WAFANYE KWELI

MAZINGIRA ambayo yapo kwa sasa kwa wachezaji walioitwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni rafiki kwao kufanya kazi kwelikweli ili kuweza kupata ushindi. Hizi mechi ambazo zipo kwenye kalenda ya FIFA ni muhimu kwa wachezaji kuzipa uzito mkubwa na kufanya vizuri ili kupata matokeo. Ukiangalia namna ambavyo wachezaji wanapata nafasi kikosi cha…

Read More

AUCHO KAMILI KUIVAA AZAM FC

UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa mastaa ambao wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda kwa ajili ya mechi…

Read More

KOCHA STARS:TUNA TIMU NZURI

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuelewa kuwa wana timu bora sana ya taifa kwa sasa na wanatakiwa kuwa na imani nayo na kutoa sapoti kubwa. Kim ameyasema hayo baada ya Stars kuibuka na ushindi mbele ya Afrika ya Kati wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA KILA KONA WAMEIBANA SIMBA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamewabana kotekote mabingwa watetezi wa ligi na Kombe la Shirikisho, Simba kwa kuwa wazi kwamba wanahitaji kushinda kila sehemu. Kwenye Kombe la Shirikisho, Yanga imetinga hatua ya robo fainali na inatarajiwa kumenyana na Geita Gold na kwenye ligi, Yanga ni namba moja ikiwa na pointi 48 baada ya…

Read More

KOCHA ITALIA HAJAFURAHISHWA NA MATOKEO MABAYA

ROBERTO Mancini, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Italia amesema kuwa hajafurahishwa  na kutolewa katika hatua hiyo. Usiku wa kuamikia leo Timu ya Taifa ya Italia ilifungwa bao 1-0 dhidi ya North Macedonia. Bao pekee la ushindi lilipachikwa kimiani na Aleksandar Trajkovski dk 90+2 Uwanja wa Renzo Barbera. Sasa North Macedonia itacheza mchezo dhidi…

Read More

SIMBA YASAKA ATAKAYEMPA CHANGAMOTO TSHABALALA

MEFAHAMIKA kuwa Simba imeanza kumnyemelea beki katili wa kushoto anayekipiga ASEC Mimosas, Wonlo Coulibaly raia wa Ivory Coast. Nyota huyo ambaye alicheza kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar ukiwa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba na kuchapwa mabao 3-1, inadaiwa amewavutia mabosi wa Msimbazi hivyo wanataka kufanya jambo. Beki huyo mwenye miaka 30, aliwahi kucheza TP Mazembe ya…

Read More

NEYMAR ANAVUTA MKWANJA MESSI

TAARIFA ya orodha ya wachezaji wanaoingiza mshahara mrefu kwenye Ligue 1 imetoka, huku mchezaji nyota zaidi kwenye ligi hiyo, Lionel Messi anayekipiga PSG akishika namba mbili kwa kuingiza kitita cha Euro milioni 3.3 (sawa na Sh bilioni 8.5) kwa mwezi. Takwimu hizo zilizotolewa na gazeti la L’Équipe zinaonesha kuwa sasa mchezaji huyo raia wa Argentina…

Read More