TOTTENHAM YASHINDA 5G,YATINGA 4 BORA

TOTTENHAM Hotspur imeishushia kichapo cha mabao 5-1 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mchezo huo umechezwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Tottenham Hotspur mbele ya mashabiki 57,553. Mabao ya Ben Davies dk 43,Matt Doherty dk 48,Heung-min Son dk 54,Emerson Leite de Souza Junior dk 63,Steven Bergwijn dk 83 ambaye alianzia benchi…

Read More

SIMBA YAIPIGA 4G USGN KWA MKAPA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 USGN katika mchezo wa makundi. Watupiaji kwa Simba ni Sadio Kanoute dk 63,Chris Mugalu dk 68 na 78 na kipa wa USGN alijifunga dk 84. Simba ipo nafasi ya pili na pointi 10 kundi D sawa na RS Berkane. Timu mbili zinapita zote zikiwa zimekusanya pointi 10…

Read More

SIMBA 0-0 USGN, UWANJA WA MKAPA

DAKIKA 45 Uwanja wa Mkapa ubao Simba 0-0 USGN hatua ya makundi. Simba wamekwama kutupia kupitia kwa Pape Sakho aliyekosa nafasi mbili, Sadio Kanoute nafasi tatu za kufunga. Pia Kanoute kwa kucheza faulo ameonyeshwa kadi ya njano na mwingine kwa Simba ni Joash Onyango ambaye hakuwa na chaguo alimchezea faulo Adebayo Victorean. Simba wamepiga kona…

Read More

KOCHA HITIMANA:TUTAJIPANGA KWA MECHI ZIJAZO

HITIMANA Thiery,Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa watajipaga kwa ajili ya mechi zijazo baada ya leo kupata sare. Ikiwa Uwanja wa Uhuru, KMC ilitoshana nguvu ya bila kufungana na Namungo FC leo Aprili 3 2022. Thiery ambaye alikuwa pia ni kocha wa Namungo FC amesema kuwa hakuwa na chaguo kwa kuwa walipata nafasi lakini wakashindwa…

Read More

RASMI KIKOSI CHA SIMBA V USGN,MUGALU NDANI

HIKI hapa rasmi kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya USGN Uwanja wa Mkapa mchezo wa Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Mkapa:- Aishi Manula Shomari Kapombe Zimbwe Jr Joash Onyango Henock Inonga, Jonas Mkude Pape Sakho Sadio Kanoute Chris Mugalu Rally Bwalya Bernard Morrison Akiba Beno Israel Kennedy Nyoni Lwanga Mzamiru Kagere Kiu Banda Saa…

Read More

NNAUYE:USHINDI WA SIMBA NI MUHIMU KWA NCHI

NAPE Nnauye,Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema kuwa ushindi wa leo kwa Simba ni muhimu kwa nchi. Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya USGN mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ni hatua ya makundi. Nnauye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa saa 4:00 usiku. Kiongozi…

Read More

NABI AZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, mipango yao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo ujao dhidi ya Azam kutokana na kuwa na malengo ya kuchukua ubingwa msimu huu licha ya kuandamwa na wimbi la majeruhi. Aprili 6, mwaka huu, Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya Azam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kupigwa…

Read More

HATOKI MTU KWA MKAPA IENDE KWA VITENDO

UNAAMBIWA mtu kwao hilo lipo kwenye mechi za kimataifa hasa kwa soka letu la Afrika ambalo linakwenda kwa namna ambavyo linataka lenyewe. Ipo hivyo wewe kubali kata unaona namna ilivyokuwa kwa Simba walishinda kwa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Uwanja wa Mkapa walipowafuata ugenini wakachapwa mabao 3-0. Tena ni kwamba hapo ASEC walikuwa nje ya…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA V USGN

 NI Aprili 3,2022 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v USGN kuchezwa saa 4:00 usiku. Simba ipo kundi D ikiwa na pointi 7 na USGN ina pointi 5 ikiwa nafasi ya nne zote zinahitaji pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa leo. Ule wa awali walipokutana ugenini walitoshana nguvu…

Read More

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU VITOCHI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hauungi mkono kabisa matumizi ya vitochi na badala yake uwezo wa wachezaji pamoja na uwepo wa mashabiki uwanjani ni silaha yao katika kusaka ushindi. Kesho saa 4:00 usiku Simba ina kibarua ca kusaka ushindi mbele a USGN kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi na ambacho wanakihitaji…

Read More

MAJANGA MENGINE ,KIUNGO WA KAZI YANGA AUMIA

TAARIFA mbaya kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa, kiungo wao tegemeo hivi sasa, Mganda, Khalid Aucho, huenda akaukosa mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Hiyo ikiwa ni siku chache kabla ya timu hiyo kuvaana na Azam katika mchezo utakaopigwa Jumatano ijayo saa moja kamili usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi…

Read More