
RONALDO KUTUA NAPOLI
NYOTA Cristiano Ronaldo anaweza kutua ndani ya Klabu ya Napoli kabla ya usajili kufungwa kesho Septemba Mosi. Wakala maarufu duniani, Jorge Mendes anapambana kuhakikisha staa huyo anayetaka kuondoka Manchester United anapata changamoto mpya. Taarifa zimeeleza kuwa dili lake la kujiunga na Napoli litahusisha kubadilisha baadhi ya wachezaji. Cr 7 mwenye Ballon d’Or tano aliwaambia viongozi…