
BENZEMA AMTAJA RONALDO
STAA wa Klabu ya Real Madrid, Karim Benzema amebainisha kuwa nyota Cristiano Ronaldo amefanya kazi kubwa kumsaidia yeye kuwa bora baada ya kuondoka hapo na kumuachia majukumu. Benzema na Ronaldo walicheza pamoja Real Madrid kuanzia 2009 mpaka 2018 kwa mafanikio makubwa ndani ya La Liga. Mpaka Ronaldo anaondoka Madrid alikuwa ametupia mabao zaidi ya 420…