
NAMUNGO FC WAREJEA NYUMBANI,UWANJA WA KISASA BALAA
UWANJA wa Majaliwa sasa utatumika kwa mechi za nyumbani kwa Klabu ya Namungo baada ya kufanyiwa ambayo yalichukua muda mrefu. Wakati wa maboresho hayo Namungo FC ilikuwa inatumia Uwanja wa Ilulu, Lindi na ulipofungiwa ili ufanyiwe maboresho walikuwa wanatumia Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa mechi za nyumbani. Mazoezi yao ya kwanza ilikuwa ni Septemba…